Wanawake wachezaji wa Mpira wa Kikapu Kenya wajiandaa kwa mashindano ya Afrika

Mei 08, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Klabu ya Mabingwa wa Mpira wa Wavu Afrika imeanza wiki hii nchini Kenya, kutetea ubingwa wa timu ya Kenya Prisons kujiandaa kushinda katika mchezo wake wa nne, gazeti la Daily Nation la Kenya liliripoti siku ya Jumatatu (tarehe 7 Mei).

Kenya itawakilishwa na timu tatu -- Prisons, Pipeline na Kenya Commercial Bank – na timu za wenyeji zote zinatarajiwa kumiliki mashindano. .

"Miaka mitatu iliyopita tulikuwa na timu za Kenya zilizoongoza," Kiongozi wa Shirikisho la Mpira wa Wavu Evans Wasike alisema, kwa mujibu wa gazeti la Business Daily Africa. "Tunatarajia wasichana wenyeji watakuwa mstari wa mbele na tunaamini kwamba watafanya vizuri, lakini pia tuna wasiwasi na vitisho vilivyotolewa na timu nyingine, hasa ya North Africans."

Kocha Mkuu wa Timu ya Prisons David Lung'aho aliliambia gazeti la Daily Nation, "Wasichana wana motisha, lakini haitakuwa rahisi kwetu, sasa kwamba tunatetea ubingwa. Timu nyingi zitataka kututoa katika ushindi kwa mara ya nne."

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo