Mei 08, 2012
Ofisi ya Maspika wa Jumuiya ya Afrika Mashariki liliidhinisha siku ya Jumanne (tarehe 8 Mei) uanzishwaji wa Taasisi Mpya ya Bunge la Afrika Mashariki (EAPI) kuongeza uwezo wa wabunge katika kanda.
Taasisi hiyo itakuwa chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, ikisisitiza ujenzi wa uwezo, ujuzi na weledi kwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Maspika waliokusanyika huko Kigali wameagiza mabunge ya nchi wanachama wa jumuiya hiyo kuunda kamati za kuhimiza uhusiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki gazeti la The Standard la Kenya liliripoti.
Mswada unapendekeza uanzishwaji wa taasisi hiyo uliidhinishwa na marais wa Burundi, Uganda, Rwanda na Kenya, na sasa upo kwa rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji