Mei 06, 2012
Mogadishu inarejea katika maisha ya kawaida wakati ujenzi mpya unaendelea na bei za mali zisizohamishika kupanda, AFP iliripoti hapo Jumamosi (tarehe 5 Mei).
“Watu wanajenga upya nyumba zao,” alisema msemaji wa serikali Abdurahman Omar Osman. “Wasomali waliokuweko uhamishoni wanarejea…biashara zinafunguliwa upya,” alisema.
“Siku hizi hakuna ukosefu wa ajira, ujenzi umeshamiri, “ fundi rangi Adan Sharif aliiambia AFP, na kusema kuwa sasa ana uhakika wa kuajiriwa kwa kazi mpya.
“Majengo mengi katika mtaa wetu yamekarabatiwa katika wiki za karibuni na yamekaa vizuri; eneo hilo haliko tena kama lilivyokuwa baada ya vita,” alisema Fadumo Moalim, mama wa watoto nane anayeishi katika wilaya ya Wardhigley.
Askari wa AMISOM na TFG waliwatimua al-Shabaab kutoka ngome zao za mwisho zilizobakia mjini Mogadishu mwezi Machi.
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji