Mei 04, 2012
Benki Kuu ya Kenya inaendelea na kiwango cha ukopeshaji cha asilimia 18 ili kudhibiti mfumko wa bei, Gavana wa Benki Kuu Njuguna Ndung’u alitangaza.
Ndung'u, anayeongoza Tume ya Sera ya Fedha (MPC), alisema upanuzi wa mikopo haujapungua na lengo la mfumko wa bei kwa asilimia 9 halijafikiwa ili kuthibitisha mwanzo wa kupunguza mzunguko, gazeti la Business Daily Afrika liliripoti hapo Alhamisi (tarehe 3 Mei). Kiwango cha mfumko wa bei kiko juu ya lengo, kwa asilimia 9.94.
Kiwango cha upanuzi wa mkopo kilibakia kuwa asilimia 24 mwezi Machi, juu ya lengo lililowekwa la asilimia 22, kwa mujibu wa takwimu rasmi. MPC imesema inapanga kupunguza kiwango cha mkopo kwa asilimia 18 ifikapo mwezi Juni.
“Tume iligundua kuwa kuna haja ya kuendelea na msimamo wa sera ya fedha ya sasa ili kuhakikisha kuwa mfumko wa bei unaendelea kushuka kufikia lengo na kuendeleza utulivu katika kiwango cha ubadilishaji fedha,” Ndung’u alisema.
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
Sampuli ya DNA iliyochukuliwa kwenye mswaki uliokuwemo kwenye begi lililokuwa na risasi lililopat...
Wakenya kumi na wasaba wameshtakiwa kwa kuvunja amani, kufanya ghasia na ukatili dhidi ya wanyama...
Al-Shabaab imedai kuhusika na urushwaji wa makombora kwenye kasri ya rais mjini Mogadishu siku ya...
Wanajeshi wa Uganda wa Kikosi Namba 9+ wanarudi nyumbani baada ya kukamilisha miezi 13 ya ziara y...
Kikosi cha polisi cha Kenya kitaanza uhakiki wa kina wa maofisa mwezi ujao, kikianza na kusaili w...
Ujambazi ulizuiwa katika ofisi za usalama za Wells Fargo huko Mombasa ulisababisha kifo cha watu ...
Rais wa Ghana John Dramani Mahama aliahidi msaada wa nchi yake katika kipindi cha ujenzi mpya wa ...
Polisi nchini Tanzania walimkamata mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msingwa, na wafanyabiashara 60 k...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji