Bunge la Kenya latenga fedha kwa ajili ya uchaguzi

Mei 04, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Bunge la Kenya limeidhinisha maombi ya Tume ya Uchaguzi kutenga shilingi milioni 17.5 (dola za Kimarekani 211,000) kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao, Redio Capital FM News ya Kenya iliripoti siku ya Alhamisi (tarehe 3 Mei).

Bunge limekubaliana na kiwango chote cha fedha kilichoombwa na Tume "ili kuhakikisha kunakuwa na uchaguzi salama, wa kweli, wa amani, huru na wa haki", baraza la mawaziri lilisema katika ujumbe wake.

Baraza la mawaziri pia limeidhinisha ajira za walimu 10,000 kila mwaka, pamoja na madaktari na wafanyakazi wengine wa afya 900, maofisa wa polisi 7,000, na kununua magari ya polisi ya nyongeza.

Wakati wa kikao chake, bunge liliamua uwekezaji wa rasilimali za nyongeza na sekta za kiintelijensia kuhakikisha usalama wakati wote wa uchaguzi. Bunge pia liliendeleza mapambano dhidi ya rushwa, kwa kusaidia uundaji mpya wa tume ya kupambana na rushwa.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 1)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, serikali za majimbo ya shirikisho ziundwe vipi nchini Somalia kufuatia utata wa Jubbaland?

Angalia matokeo