Mei 04, 2012
Zaidi ya watu 40 wamekufa na 60,000 kukosa makazi baada ya mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi kuzikumba sehemu kadhaa za Kenya, gazeti la Daily Nation la Kenya liliripoti Alhamisi (tarehe 3 Mei).
Watu wawili wameripotiwa kupotea na 42 wamejeruhiwa, alisema msemaji wa Chama cha Msalaba Mwekundu Kenya Nelly Muluka. Alisema nyumba za takribani familia 100 pia zilisombwa na maji ya mafuriko.
"Kufuatia ukosaji wa makazi, chama kimekuwa kikigawa pamoja na vitu vingine, maturubai, mablanketi, vyandarua, vyombo vya jikoni na madumu yanayokunjika kwa familia zilizoathirika,” Mulika alisema.
Kina cha maji katika Mto Nzoia kimeongezeka kwa kiasi cha mita tano, “ambayo ni hali inayotisha,” alisema.
"Kufuatia kuongezeka kwa kina cha maji, watumishi wa Msalaba Mwekundu wamezishauri jamii ambazo ziko katika hatari kwenda sehemu za miinuko,” Muluka alisema.
Siku ya Alhamisi Shirika la Msalaba Mwekundu walizindua kituo cha afya kwa wakazi wa Nyanza ambao waliharibiwa makazi yao na mafuriko.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
MWISHO WA MTUME WA BWANA, DK. DAVID EDWARD OWOUR, ALIBASHIRI MAFURIKO YA KUTISHA KUJA ULIMWENGUNI KUTOKANA NA DHAMBI YA NGONO KATIKA ARDHI MIONGONI MWA MADHAMBI MENGINE. SASA HILI LIMETIMIA, WATU WOTE WANAPASWA KUFAHAMU KUWA KUNA MTUMISHI WA KWELI WA MUNGU HAPA DUNIANI, NA KILA MTU ANAPASWA KUITIKIA WITO WAKE KWA KUTUBU NA KUTAYARISHA NJIA KWA AJILI YA MESIA ANAYEKUJA.