Vikosi vya usalama vyawakamata washukiwa huko Bakol

Aprili 30, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Vikosi vya Serikali ya Mpito ya Shirikisho ya Somalia viliwakamata watu 15 wanaoaminiwa kuwa na uhusiano na al-Shabaab, Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti hapo Jumapili (tarehe 29 Aprili).

Operesheni hiyo ilikuja baada ya viongozi kupokea habari za kuaminika kuwa baadhi ya vijana katika eneo la Hudur wanapanga kufanya uhalifu. Washukiwa wameshikiliwa na polisi na wanasubiri kuhojiwa.

Ikiwa viongozi watagundua kuwa washukiwa hao wana uhusiano na al-Shabaab, serikali itaandaa mashitaka na watafikishwa mahakamani.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo