Serikali ya Somalia yakanusha kutesa wafungwa

Aprili 29, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Serikali ya Somalia imepinga vibaya lawama ya utendaji vibaya wa mfungwa katika jela za Mogadishu, Mtandao wa Habari wa Shabelle Media Network wa Somalia uliripoti Jumapili (tarehe 29 Aprili).

Madai ya Serikali yamekuja kufuatia malalamiko ya hivi karibuni kuwa haki ya kutembelewa katika magereza imezuiliwa na kuwa wafungwa wanatendewa kinyume cha ubinadamu. Fujo na majaribio ya kushambulia magereza yalitokea katika magereza kuu ya Mogadishu wiki iliyopita.

Afisa mwandamizi wa usalama Abdi Mohammed Ismail alisema wafungwa hao wanaangaliwa vizuri na wana haki ya kutembelewa na marafiki na familia.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, serikali za majimbo ya shirikisho ziundwe vipi nchini Somalia kufuatia utata wa Jubbaland?

Angalia matokeo