2 wafa wakati vikosi vya Somali, al-Shabaab vyapambana karibu na Mogadishu

Aprili 29, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Si chini ya watu wawili walikufa katika mapambano Jumamosi usiku (tarehe 28 Aprili) kati ya vikosi vya serikali ya Somalia na wanamgambo wa al-Shabaab katika vitongoji vya Mogadishu, Mtandao wa Habari wa Shabelle Media Network wa Somalia uliripoti.

Makabiliano hayo yalianza wakati al-Shabaab waliposhambulia kituo cha jeshi cha serikali katika vijiji vya Hosh na Asbluta kusini mwa Mogadishu, kwa mujibu wa Kamanda wa Serikali ya Mpito ya Shirikisho ya Somalia Abdullah Osman.

Vikosi vya Serikali ya Somalia na Umoja wa Afrika vilizuia wanamgambo na kukwamisha jaribio lao la kuvuruga amani katika eneo hilo, Kamishina wa Wilaya ya Darkenley Moalim Addulle aliimbia Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na UN.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo