Aprili 27, 2012
Utawala wa mkoa wa Hira hapo Alhamisi (tarehe 26 April) iliwaonya raia kujikinga na fedha bandia, redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti.
Mkuu wa Mkoa Abdifatah Hassan Afrah alisema kuwa katika siku tatu, serikali itaanza kuchukua hatua dhidi ya yeyote anayemiliki fedha bandia za Somalia, zinazojulikana kama "noti nyeupe".
Matumizi ya fedha bandia yana uwezo wa kusababisha mfumko wa bei, alionya. Alisema uchunguzi unaendelea ili kuwagundua wale wanaohusika na kuleta fedha bandia huko Hiran.
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
Moto kwenye soko kubwa la Garissa uliharibu zaidi ya maduka 100 usiku wa Jumatatu (tarehe 17 Juni...
Waziri wa Umoja wa Kitaifa wa Djibouti Zahra Youssouf Kayad alisaini mikataba ya miradi miwili ye...
Kamati ya bajeti ya Bunge ya Kenya imekataa pendekezo la kununua ofisi mpya kwa aliyekuwa Rais Mw...
Moto ulifanya uharibifu mkubwa katika mji wa Balbala huko Djibouti siku ya Jumapili (tarehe 16 Ju...
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji