Aprili 26, 2012
Wizara ya Afya ya Tanzania inawahamasisha raia kushiriki katika programu ya wiki ya chanjo ambayo ilianza Jumatano (tarehe 25 Aprili).
Tunahitaji kuwapa chanjo watoto wote, ingawa tunawalenga akina mama ambao walikosa nafasi ya kuwapatie chanjo watoto wao chini ya programu za kawaida za chanjo,” Yussuf Makame wa Idara ya Programu Kubwa ya Chanjo alisema katika mkutano na waandishi wa habari siku ya Jumanne.
Uchanjaji bure umegongana na Wiki ya Chanjo Afrika, tarehe 23 – 29 Aprili. Huko Zanzibar, wizara inapewa chanjo kwa watoto wachanga wenye umri wa chini ya mwaka mmoja dhidi ya kupata magonjwa mbalimbali yakiwemo ya pepopunda, kifua kikuu, donda koo na surua. Makame alisema chanjo ni sehemu ya mpango wa nchi wa kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya kupunguza vifo vya watoto kwa theluthi mbili ifikapo 2015.
Mapema wiki hii, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Hadji Mponda alisema programu za chanjo za Tanzania tayari zimeshapunguza kiwango cha vifo kwa watoto chini ya miaka mitano kwa zaidi ya asilimia 80 kutoka mwaka 1999 hadi 2000, gazeti la The Citizen la Tanzania liliripoti.
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji