Aprili 26, 2012
Wapiganaji watatu wa al-Shabaab huko ukanda wa chini wa Juba wamebadilisha uelekeo na kupokelewa na maofisa wa serikali ya mtaa, Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti Alhamisi (tarehe 26 Aprili).
Wapiganaji hao watatu waliojisalimisha huko Qoqani, awali waliripotiwa kwa Hassan Yukub, kamanda mwandamizi wa al-Shabaab . Wawili walikuwa wakifanyakazi katika kikosi chake cha usalama wakati yule watatu alikuwa dereva, Mohamed Addullah, ofisa wa jeshi wa Serikali ya Mpito ya Shirikisho aliimbia Bar-Kulan.
Wanaume hao walipokelewa vizuri na sasa wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha mji huo, alisema.
Kuasi kwa wapiganaji hao kumekuja wiki moja baada ya viongozi wengine wawili wa al-Shabaab kujisalimisha kwa maofisa wa serikali huko Qoqani. Redio Bar-Kulan iliripoti. Serikali inadhania kuwa kuasi kwa hivi karibuni ni kwa sababu ya ahadi ya msamaha inayoendelea kwa mwanachama yeyote wa al-Shabaab anayeasi.
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
Moto kwenye soko kubwa la Garissa uliharibu zaidi ya maduka 100 usiku wa Jumatatu (tarehe 17 Juni...
Waziri wa Umoja wa Kitaifa wa Djibouti Zahra Youssouf Kayad alisaini mikataba ya miradi miwili ye...
Kamati ya bajeti ya Bunge ya Kenya imekataa pendekezo la kununua ofisi mpya kwa aliyekuwa Rais Mw...
Moto ulifanya uharibifu mkubwa katika mji wa Balbala huko Djibouti siku ya Jumapili (tarehe 16 Ju...
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji