Aprili 25, 2012
Mamlaka ya Maendeleo ya Chai ya Kenya imepanga kujenga mtambo wa kuzalishia umeme wa nguvu za maji wenye thamani ya shilingi milioni 400 (Dola za Marekani milioni 4.8) kwa ajili ya viwanda vitatu huko Embu, mjumbe wa bodi Samuel Murithi Ireri alitangaza siku ya Jumanne (tarehe 24 Aprili).
Kutumia umeme wa maji utakaozalishwa kutoka katika Mto Thuci kutaokoa viwanda kwa zaidi ya shilingi milioni 54 (Dola za Marekeni 65,000) za bili za umeme kwa mwaka, pamoja na kuongeza mapato kwa kuuza umeme katika gridi ya taifa, Ireri alisema wakati wa uzinduzi wa wiki ya upandaji miti katika Mlima Kenya.
Itapunguza matumizi ya kuni na kupunguza mahitaji ya ukataji miti katika misitu ya Kenya," alisema. Wakulima wa eneo hilo hawataki kutegemea wakulima kupata kuni. Tunataka kuhakikisha msitu uliopo umebakiswa au kuongezekwa," alisema. Wakulima wa eneo hilo wanakusudia kupanda zaidi ya miti 450,000 msimu huu ili kufidia upungufu uliotokana na uchomaji wa mapori, alisema.
Polisi nchini Tanzania walimkamata mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msingwa, na wafanyabiashara 60 k...
Mahakama moja ya Bosaso iliwatia hatiani na kuwapiga faini Wairani 78 siku ya Jumapili (tarehe 19...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata watuhumiwa 15 kuhusiana na kulichoma Kanisa la Bethania kweny...
Mkuu wa Polisi wa Kenya, David Kimaiyo, ameondoa nafasi za afisa polisi wa jimbo, afisa wa upelel...
Watu wenye silaha waliwaua watu wawili na kuwajeruhi wengine wanne katika mashambulizi tofauti kw...
Mkutano wa kuzungumzia uwezekano wa uchimbaji mafuta na gesi, uwekezaji, usalama na miundombinu n...
Wizara ya Masuala ya Wanawake na Familia ya Puntland ilianza mafunzo ya siku nane hapo Juampili (...
Zaidi ya Wasomali milioni 1 hawatakuwa na "usalama wa chakula" hadi mwezi wa Septemba, Mtandao wa...
Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Pembe ya Afrika (IGAD) uliwatembelea maafisa mjini Mogadish...
Mshukiwa wa ugaidi na mke wake walipigwa risasi na kufa na maafisa sita wa polisi walijeruhiwa wa...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji