Aprili 25, 2012
Baraza la Katiba la Tanzania linashirikiana na shirika lisilo la kiserikali la HakiElimu kuwahimiza wananchi kubadilishana mawazo yao katika mchakato wa mabadiliko ya katiba, gazeti la Daily News la Tanzania liliripoti siku ya Jumatano (tarehe 25 Aprili).
Mashindano ya Katiba yatotoa zawadi ya kati ya shilingi 200,000 na 500,000 (Dola za Marekani 126-319) kwa insha bora itakayofafanua kitu ambacho wananchi wanataka kukiona katika katiba.
"Tunapenda kuwahamasisha watu kutoa maoni yao kuhusu katiba mpya kwa kuandika insha au kuchora michoro na kila mmoja anaweza kushiriki," alisema Nyanda Shuli, meneja wa habari na utetezi wa HakiElimu.
Maoni kuhusu mtazamo wa wananchi yatakayopatikana kutokana na shindano yatapelekwa katika kamati ya wajumbe 30 wa kupitia katiba, walioteuliwa na Rais Jakaya Kikwete mapema mwezi huu.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
MAONI YANGU KATIKA MABADILIKO YA KATIBA NAHITAJIA KUWEPO KWA MUUNGANO WA MKATABA AMBAO UTAUNGANISHWA NA SEREKALI YA TANGANYIKA NA SERIKALI YA ZANZIBAR. TUNAHITAJI RAIS WA ZANZIBAR KUTAMBULIKA KITAIFA NA KIMATAIFA. MFUMO WA ELIMU ZA JUU UWE CHINI YA ZANZIBAR KWA UPANDE WA ZANZIBAR.