Aprili 25, 2012
Rais wa Serikali ya Mpito ya Shirikisho ya Somalia Sheikh Sharif Sheikh Ahmed alitangaza ugombea wake kuwa rais baada ya serikali ya mpito, Redio RBC ya Somalia iliripoti Jumatano (tarehe 25 Aprili).
"Ninataka kuweka wazi kuwa, kama mtaniruhusu, nitakuwa mgombea wa urais mwezi Agosti unaokuja,” Ahmed alisema wakati wa kumbukumbu ya miaka 52 ya vikosi vya jeshi la Somalia hapo Jumatatu.
Rais huyo pia aliwahamasisha Wasomali na bunge kudumisha kujiamini kwao katika Mpango, ambao serikali ya mpito itahitimishwa na uchaguzi utafanyika kwa uongozi mpya Agosti 2012.
“Tunataka uchaguzi kufanyika na kuingia katika mfumo kamili wa serikali ya Somalia,” alisema. “Kama mtakataa yote haya, inawezekanaje kusonga mbele?”
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji