Wazee wa Gedo watoa wito wa msaada wa chakula

Aprili 24, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wazee katika eneo la Gedo kusini magharibi mwa Somalia wanatoa wito wa msaada wa dharura wa kibinadamu, redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti hapo Jumatatu (tarehe 23 Aprili).

Muhumed Ali, mzee wa mji wa Beled Hawo, alikiambia kituo hicho cha redio kuwa maeneo ya Jiracle, Kamaro Kof na Tula Amin kuwa wanahitaji msaada wa haraka, kwa vile ukosefu wa chakula umewaacha na njaa wakazi wengi wa eneo hilo.

Alisema mamia ya watu waliokimbia makazi yao kutokana na mapigano katika wilaya za Garbaharey, Bardera na Bardube ndio walioathirika zaidi.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo