Aprili 23, 2012
Ujumbe wa Kenya unaoongozwa na Naibu Waziri wa mambo ya nje Richard Onyonka uliwasili Mogadishu Jumapili (tarehe 22 Aprili) kujadili uhusiano wa pande mbili.
Onyonka alifanya mazungumzo na rais wa Somalia Sheikh Sharif Sheikh Ahmed ambapo waliripotiwa kujadili uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi mbili na mapambano dhidi ya wapiganaji wa al-Qaeda wenye uhusiano na kundi la al-Shabaab.
Kwa sasa vikosi vya Kenya ni sehemu ya misheni ya Umoja wa Afrika ambayo inakusudia kuwatokomeza al-Shabaab.
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
Polisi nchini Tanzania ilituma timu maalum mjini Arusha siku ya Jumapili (tarehe 16 Juni) kuchung...
Ujumbe wa Yemen uliitembelea Djibouti mwishoni mwa wiki hii kwa ajili ya kusaini mikataba kadhaa ...
Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Somalia, Nicholas Kay, aliitembelea Djibouti siku ya Ju...
Watu kumi waliripotiwa kuuawa siku ya Jumamosi (tarehe 15 Juni) huko Jowhar katika mapigano yaliy...
Mashirika ya kupambana na ufisadi Kenya yameungana ili kuunda kituo kimoja cha malalamiko na rufa...
Watu wapatao watatu wanahofiwa kufa na 20 wengine kujeruhiwa vibaya sana baada ya milipuko mitatu...
Nchi kumi na tano na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zilihudhuria mkutano kuhusu hali yenye...
Shambulio la kifaa cha mlipuko wa kienyeji huko wilaya ya Wanlaweyne katika Mkoa wa Shabelle ya C...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
Mwanzo nzuri. Hongera.