Aprili 23, 2012
Rais wa Somalia Sheikh Sharif Sheikh Ahmed na Waziri Mkuu Abdiwei Mohamed Ali walitoa sifa kwa Vikosi vya Jeshi la Somalia, ambavyo viliadhimisha kumbukumbu yake ya Miaka 52 Jumatatu (tarehe 23 Aprili), Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti.
Watu hao wawili walizungumza wakati wa sherehe katika ufukwe wa Lido wa Mogadishu, ambayo ilijumuisha gwaride kwa vikosi vya Serikali ya Mpito ya Shirikisho.
Ahmed alisisitiza jukumu la vikosi hivi lililofanywa katika kuilinda Somalia na kukomboa Mogadishu kutoka kwa al-Shabaab. Rais pia alisifia jukumu la la AMISOM katika kutoa mafunzo kwa jeshi la Somalia kufuatia miongo miwili ya mgogoro.
Naye Waziri Mkuu Abdiwei Mohamed Ali alielezea furaha yake kwa kushuhudia kumbukumbu hii, akitoa wito kwa vikosi hivi kuendeleza kazi yake nzuri, ambayo alisema inasaida kurejesha utu wa Somalia.
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
Sampuli ya DNA iliyochukuliwa kwenye mswaki uliokuwemo kwenye begi lililokuwa na risasi lililopat...
Wakenya kumi na wasaba wameshtakiwa kwa kuvunja amani, kufanya ghasia na ukatili dhidi ya wanyama...
Al-Shabaab imedai kuhusika na urushwaji wa makombora kwenye kasri ya rais mjini Mogadishu siku ya...
Wanajeshi wa Uganda wa Kikosi Namba 9+ wanarudi nyumbani baada ya kukamilisha miezi 13 ya ziara y...
Kikosi cha polisi cha Kenya kitaanza uhakiki wa kina wa maofisa mwezi ujao, kikianza na kusaili w...
Ujambazi ulizuiwa katika ofisi za usalama za Wells Fargo huko Mombasa ulisababisha kifo cha watu ...
Rais wa Ghana John Dramani Mahama aliahidi msaada wa nchi yake katika kipindi cha ujenzi mpya wa ...
Polisi nchini Tanzania walimkamata mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msingwa, na wafanyabiashara 60 k...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji