Aprili 22, 2012
Bwawa linaloendelea na ujenzi katika mkoa wa Arusha Tanzania linatarajiwa kusambaza maji safi kwa watu wanaokadiriwa 5,000 kwa wakazi wa eneo hilo na ng'ombe 20,000, gazeti la Tanzania la The Guardian liliripoti hapo Jumamosi (tarehe 21 Aprili).
Kampuni ya Ufaransa ya Sogea-Satom, ambayo inakarabati barabara kuu ya Arusha-Minjigu, linajenga bwawa lenye thamani ya shilingi milioni 100 (sawa na dola za Kimarekani 63). Afisa uhusiano wa kampuni hiyo, Jamal Nassor Addi alisema bwawa hilo litamalizika katika muda wa wiki mbili, na unatarajiwa kudumu kwa miaka 120.
Bwawa hilo liko katika kijiji cha Nanja. "Eneo hili ni zuri kwa mifugo na mara tu maji yatakapokuwa tayari, tutakuwa na uwezo wa kujiletea maendeleo," alisema mweneyekiti wa kijiji hicho Ting'ine Shamburi.
Msemaji mwanamke wa kijiji cha Nanja, Bi. Rehema Sangar' alisema, "Nimefurahi sana kwa sababu adha yetu ya kuamka alfajiri sana na kutembea umbali wa kilomita 15 kila siku kutafuta maji, itakuwa historia mara tu bwawa litakapokamilika."
Wizara ya Usafiri wa Anga ya mkoa wa Somaliland siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni) iliikataza ndege...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata makamu wanne wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Ma...
Watu wenye silaha kwenye Kaunti ya Wajir walimuua polisi mmoja wa akiba wa Kenya siku ya Jumanne ...
Japan inaipa Tanzania dola milioni 49 (shilingi bilioni 80.4) kama msaada na mkopo kwa ajili ya k...
Inspekta Jenerali wa Polisi David Kimaiyo yeye pekee yake amewateua na kuwapangia kazi maafisa wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne ilimkubalia Makamu wa Rais wa Kenya Willia...
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji