Aprili 22, 2012
Askari wa doria wa Kenya iliwauwa watuhumiwa watano wa ujangiri katika Wilaya ya West Pokot karibu na mpaka wa Uganda, Huduma za Wanyamapori ya Kenya (KWS) iliripoti hapo Jumamosi (tarehe 21 Aprili).
Majangiri walijeruhiwa katika mapambano ya silaha, yaliyoanza saa 7 usiku na kuendelea kwa zaidi ya dakika 40, KWS ilisema, na kuongeza kuwa katika eneo la tukio hilo, iliokoa kilo 50 za meno ya ndovu na bunduki tatu za mashambulizi.
Polisi wanamtafuta mtuhumiwa mmoja wa majangiri hao ambaye alitoroka, alisema meneja wa mawasiliano wa KWs Paul Udoto. "KWS inajitahidi zaidi kuliko zamani katika kumaliza vitendo vyote vya ujangiri na umiliki haramu wa bidhaa za wanyama pori," Udoto alisema, kwa mujibu wa Redio Capital FM News ya Kenya.
Majangia ni matatizo huko Kenya licha ya kuwepo sheria inayoikataza, na KWS inatoa adhabu kali kwa wanaoshiriki biashara haramu ya pembe za ndovu.
Wizara ya Usafiri wa Anga ya mkoa wa Somaliland siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni) iliikataza ndege...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata makamu wanne wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Ma...
Watu wenye silaha kwenye Kaunti ya Wajir walimuua polisi mmoja wa akiba wa Kenya siku ya Jumanne ...
Japan inaipa Tanzania dola milioni 49 (shilingi bilioni 80.4) kama msaada na mkopo kwa ajili ya k...
Inspekta Jenerali wa Polisi David Kimaiyo yeye pekee yake amewateua na kuwapangia kazi maafisa wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne ilimkubalia Makamu wa Rais wa Kenya Willia...
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji