Aprili 15, 2012
Kamanda mmoja wa al-Shabaab aliionya Sierra Leon hapo Jumapili (tarehe 15 Aprili) kutopeleka majeshi yake nchini Somalia, na kutishia kulipiza kisasi kwa askari wowote watakaoingia nchini humo, Radio ya Somalia ya RBC iliripoti.
Sheikh Abdirahman Muhumed Hudeyfa, kamanda wa al-Shabaab kusini ya Somalia, alitoa onyo hilo kupitia kituo cha radio cha al-Shabaab, kwa kudai kuwa majeshi ya wapinzani kutoka Sierra Leon ni ushahidi wa ushibdi unaodaiwa wa al-Shabaab kusini ya Somalia.
Al-Shabaab imekuwa katika shinikizo kubwa la operesheni za kijeshi kusini mwa Somalia, pàmoja na ripoti za za kuongezeka kwa migawanyiko katika kikundi na wanamgambo kukimbilia kaskazini kutoka maeneo yaliyokombolewa nan a majeshi ya AMISOM na serikali ya Somalia.
Sierra Leone imepangiwa kupeleka Somalia wanajeshi 850 hapo Juni kama sehemu ya Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa. Hivi karibuni, aafisa kutoka Sierra Leon walitembelea eneo la Gedo ncini Somalia kuchunguza maeneo ya nguvu ili kupeleka majeshi yatakayoshirikiana na Kenya, kituo cha radio kilitangaza.
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
Tunaviomba vikosi vyetu vya usalama kuvikamata hivi vijihalifu uchwara vya kukodiwa, lazima vipelekwe mbele ya sheria na kupatiwa adhabu ya haki kwa matendo yao ya uhalifu. Damu za watu wasio na hatia zilizomwagika zisipite bure. Kwa hivyo tunaomba hawa waletwe na washitakiwe ili uwe mfano na somo kwa wengine, kama vile Al-Shabaab na magenge yao ya kupangwa ambayo yanawalenga watu wa Somalia wasio na hatia. Vikosi vya usalama vya Somalia viendelee kuwasaka wahalifu hawa. Lazima wakamatwe ili kuiepusha jamii na uovu wao wa kigaidi.