Aprili 05, 2012
AMISOM wamelaani mauaji yaliyotokana na milipuko ya mabomu katika jumba la maonyesho la taifa huko Mogadishu siku ya Jumatano(tarehe 4 Aprili),uicide bombing at the national theatre in Mogadishu on Wednesday (April 4th), na kuliita tukio hilo kama "uhalifu mbaya dhidi ya watu wa Somalia", Jeshi la Umoja wa Afrika lilisema katika waraka wake.
Mlipuko wa mabomu ambao uliua watu wanne "hautatuzuia sisi kufanikisha amani nchini Somalia", alisema Kaimu Kamanda wa Jeshi Brigadia Jenerali Audace Nduwumunsi katika waraka huo. "Halafu tena, mbinu za magaidi hao zinaonyesha kwamba wao ni maadui wa amani na ni wageni wa utamaduni wa Somalia."
Kaimu Kamanda wa AMISOM amewaomba Wasomali "kutoa taarifa zinazohusiana na uwezekano wa mashambulio na milipuko".
Augustine Mahiga, mkuu wa Ofisi ya Siasa ya Umoja wa Mataifa (UN)alito tamko linalosema, "Hatutakiwi kuruhusu matukio haya ya kusikitisha mchakato ambao umeshafanyika nchini Somalia," kama siku zijazo za nchi "haiwezekani kufanyika kwa vurugu za kusababisha vitendo vya kigaidi ambavyo vinawalenga wananchi wenzao"
Msemaji wa Al-Shabaab Sheik Ali Mohamed Rage alisema siku ya Alhamisi kwamba kikundi hicho kitaendelea na mashambulizi dhidi ya serikali ya Somalia na majeshi ya AMISOM, gazeti la Mareeg la liliripoti.
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji