Aprili 01, 2012
Mwanachama wa al-Shabaab Hasan Dahir Aweys amekosoa kikundi kwa mauaji ya bure bure ya raia na kwa kushirikiana kwake na al-Qaeda, Shirika la Habari la Taifa la Somalia liliripoti hapo Jumapili (tarehe 1 April).
Aweys, kiongozi wa zamani wa kikundi chenye itikadi kali cha Somalia Hizbul Islam, alikiambia kikundi cha washirika wake wa karibu huko Elasha Biyana siku ya Jumamosi kuwa ushirika wa al-Shabaab na al-Qaeda usingekubalika na aliwashutumu wanamgambo kwa kumwaga damu isiyo na hatia bila sababu yoyote.
Alisema wakazi wanawaogopa al-Shabaab kwa sababu ya ukorofi wa vurugu zake, ambazo zinaivunjia al-Shabaab hadhi ya malengo yake, na kuongeza kuwa kikundi cha wanamgambo kingepaswa kuchukua tahadhari ya kutowaingiza raia katika mapigano.
Mwezi huu, kiongozi wa al-Shabaab Omar Hammami, anayejulikana pia kama Abu Mansoor al-Amriki, alieleza kutokubaliana kwake na kikundi hiki katika video iliyotumwa mtandaoni akielezea hofu ya maisha yake.
Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Pembe ya Afrika (IGAD) uliwatembelea maafisa mjini Mogadish...
Mshukiwa wa ugaidi na mke wake walipigwa risasi na kufa na maafisa sita wa polisi walijeruhiwa wa...
Watu watano walikamatwa siku ya Jumanne mjini Dar es Salaam wakiwa na vifaa vya kulipua katika mi...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliwataka wabunge kuweka kando madai yao ya kuongezwa mishahara kwa ...
Majeshi ya serikali ya Somalia waliwaua wanamgambo tisa wa al-Shabaab wakati wa mapambanao hapo J...
Mtu asiyejulikana alimpiga kwa risasi na kumuua ofisa wa kitengo cha usalama cha kijeshi huko kas...
Muungano wa Jubilee tawala cha Kenya kilichukua uongozi wa kamati mbili muhimu za bunge Ijumaa (t...
Chama cha Wafanyabiashara na Asasi ya Chakula na Kilimo ya Umoja wa Mataifa vinatoa mafunzo kwa w...
Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi aliwahamiza waandis...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji