Machi 28, 2012
Rais wa Jibuti Ismail Guelleh alizindua ligi ya mpira wa miguu ya taifa huko Dikhil siku ya Jumatatu (tarehe 26 Machi), itakayochukua mikoa mitano ya nchi, gazeti la La Nation la Jibuti liliripoti.
Rais alitumia uwanja wa michezo wa Manispaa huko Dikhil kupokea bendera na mwenge wa umoja kutoka katika mikono ya vijana wawili. Viongozi wa serikali na mamia ya vijana walishangilia kutoka kila upande, gazeti liliripoti.
Hii ni mara ya kwanza kwa ligi ya mpira wa miguu ya mkoa kuundwa nchini Jibuti. Katibu Mkuu wa nchi kwa ajili ya Vijana na Michezo Djama Elmi Okieh alisema michezo inapaswa kufanyika nchi nzima, na sio jijini tu.
Ushiriki wa taifa katika michezo hautakuwa katika mpira wa miguu tu, alisema Okieh. "Kutakuwa na mashindano ya mabingwa wa mpira wa mikono, mpira wa kikapu, mpira wa wavu n.k., na katika kila wilaya ya Jibuti, kutakuwa na mashindano ya ubingwa wa kila fani," alisema waziri.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji