Machi 12, 2012
Kikosi cha Ulinzi cha Jamhuri ya Djibouti kimemtunukia heshima mshindi nusu wa mbio za nyika, Moumin Guelleh, hapo Jumamosi (Machi 10), limeripoti gazeti la nchi hiyo, La Nation. Katika sherehe za kuadhimisha ushindi wa Guelleh katika Mbio Nusu za Kimataifa za Djibuti, mwanariadha huyo alipandishwa cheo cha luteni kufuatia uamuzi maalum wa Rais Ismail Guelleh.
Wakati sherehe za kuadhimisha Guushindi wa Guelleh katika Mbio za Djibouti za Kimataifa za Nusu Marathoni, mwanariadha huyo alipandishwa cheo cha luteni kufuatia uamuzi maalum wa Rais Ismail Guelleh.
Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jamhuri, Kanali Mohamed Djama, alisema Rais Guelleh alitaka kuwapa moyo wanariadha wa Djibouti kama Guelleh, “ambaye amerudisha taswira ya wanariadha wa taifa.".
Djama alisema anatarajia kwamba Moumin Guelleh ataendelea kudumisha uanariadha wake na atang’ara katika michezo ya Olimpiki ya mwaka huu jijini London.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji