Machi 02, 2012
Watuhumiwa tisa wa kikundi cha al-Shabaab waliokamatwa na polisi wa Kenya wiki iliyopita wanatarajia kufikishwa mahakamani Ijumaa (tarehe 2 Machi) kwa mashtaka ya ugaidi, gazeti la Nairobi Star la Kenya liliripoti.
Watuhumiwa walirudishwa Lamu Jumatano, baada ya kupata matibabu ya majeraha ya risasi katika Hospitali ya General Coast huko Mombasa. Walikamatwa Kiunga na kupelekwa Lamu kabla ya kulazwa hospitalini. Polisi wa kupambana na ugaidi waliwarudisha watuhumiwa Lamu chini ya ulinzi mkali, liliripoti gazeti.
Watuhumiwa wote tisa walikana kuwa wafuasi wa al-Shabaab, wakisema walisafiri kwenda Somalia mapema mwezi huu kusheherekea sikukuu ya Maulid. Mahakama ilikataa maelezo yao, liliripoti gazeti.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji