Machi 02, 2012
Rais wa Kenya Mwai Kibaki na Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi wameeleza kuunga kwao mkono operesheni za kijeshi huko Somalia dhidi ya al-Shabaab baada ya mkutano wa Nairobi Alhamisi (tarehe 1 Machi).
"Viongozi hao wawili walishukuru kwamba operesheni inayoendelea ya Vikosi vya Ulinzi vya Kenya kwa pamoja na wenzao wa Ethiopia na Somalia kutokomeza vitisho vilivyowekwa na waasi wa al-Shabaab vinafikia mwisho,” waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Moses Wetangula alisema baada ya mkutano, kwa mujibu wa shirika la habari la Xinhua la China .
Viongozi hao wawili pia walikaribisha uamuzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuongeza AMISOM kutoka 12,000 hadi takriban 18,000 watumishi wa namna moja. Ongezeko la vikosi, walisema, litawezesha usambazaji katika maeneo yaliyokombolewa ili kuwezesha kuanzishwa kwa mifumo ya kiutawala kutakakofanywa na Serikali ya Somalia, utoaji wa misaada ya kibinadamu, na kurejea kwa watu wasio na makazi na wakimbizi katika majumbani kwao.
Kibaki na Zenawi waliripotiwa kusisitiza kwamba wakati kanda na jumuiya ya kimataifa wakiisaidia Somalia, wananchi wa Somalia wanapaswa kuijenga upya nchi yao na viongozi wa Somalia lazima wasuluhishe tofauti zao kwa manufaa ya nchi yao.
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
Moto kwenye soko kubwa la Garissa uliharibu zaidi ya maduka 100 usiku wa Jumatatu (tarehe 17 Juni...
Waziri wa Umoja wa Kitaifa wa Djibouti Zahra Youssouf Kayad alisaini mikataba ya miradi miwili ye...
Kamati ya bajeti ya Bunge ya Kenya imekataa pendekezo la kununua ofisi mpya kwa aliyekuwa Rais Mw...
Moto ulifanya uharibifu mkubwa katika mji wa Balbala huko Djibouti siku ya Jumapili (tarehe 16 Ju...
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji