Februari 14, 2012
Mwakilishi Mkuu kwa Somalia wa Umoja wa Afrika Jerry Rawlings alisema nchi hiyo itakumbana na kurudia kwa tatizo la kibinadamu kama misaada haitapelekwa, Redio ya Bar-kulan ya Somalia iliripoti Jumanne (tarehe 14 Februari).
Wakati Umoja wa Mataifa umepunguza umuhimu katika hali ya njaa nchini Somalia, angalau Dola za Marekani bilioni 1.5 za msaada zinahitajika kupunguza njaa nyingine, alisema Rawlings. Mjumbe wa Umoja wa Afrika alisema watu milioni 9.5 bado wanaendelea kupata njaa katika Pembe ya Afrika, watu milioni 2.3 waliwa ni kutoka Somalia.
Rawlings, wamepongeza mafanikio yaliyopo ya dhamira ya Umoja wa Afrika nchini Somalia na Serikali ya Mpito ya Shirikisho kuilinda nchi na kuwatoa al-Shabaab. Ushindi huo utaisaidia zaidi Somalia kufanikisha upatikanaji wa chakula, alisema.
Tamko hilo lilitolewa na ofisi ya Rawlings siku ya Jumatatu, alisema mjumbe huyo alipokuwa akitoa maoni yake katika mkutano uliofanyika nchi ya Jamhuri ya Kiarabu siku ya Jumapili.
Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Pembe ya Afrika (IGAD) uliwatembelea maafisa mjini Mogadish...
Mshukiwa wa ugaidi na mke wake walipigwa risasi na kufa na maafisa sita wa polisi walijeruhiwa wa...
Watu watano walikamatwa siku ya Jumanne mjini Dar es Salaam wakiwa na vifaa vya kulipua katika mi...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliwataka wabunge kuweka kando madai yao ya kuongezwa mishahara kwa ...
Majeshi ya serikali ya Somalia waliwaua wanamgambo tisa wa al-Shabaab wakati wa mapambanao hapo J...
Mtu asiyejulikana alimpiga kwa risasi na kumuua ofisa wa kitengo cha usalama cha kijeshi huko kas...
Muungano wa Jubilee tawala cha Kenya kilichukua uongozi wa kamati mbili muhimu za bunge Ijumaa (t...
Chama cha Wafanyabiashara na Asasi ya Chakula na Kilimo ya Umoja wa Mataifa vinatoa mafunzo kwa w...
Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi aliwahamiza waandis...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji