Februari 03, 2012
Polisi wa Kenya walimkamata ofisa wa polisi wa utawala wa zamani huko Garissa kwa madai ya kutoa mafunzo kwa askari wapya walioandikishwa wa al-Shabaab na kuratibu mashambulio nchini Kenya, polisi walisema Jumanne (tarehe 2 Febuari).
Ofisa huyo alikamatwa Jumatano baada ya wazazi kumwokoa mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka 14, ambaye ofisa huyo alidaiwa kumpa mafunzo ya kutumia vifaa vya mlipuko.
“Mtu huyo bado anahojiwa...hatuna la kusema zaidi kwa sasa,” Mkuu wa Polisi wa Jimbo la Kaskazini Mashariki Leo Nyongesa alisema, hii ni kwa mujibu wa habari za Capital FM ya Kenya.
Wizara ya Usafiri wa Anga ya mkoa wa Somaliland siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni) iliikataza ndege...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata makamu wanne wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Ma...
Watu wenye silaha kwenye Kaunti ya Wajir walimuua polisi mmoja wa akiba wa Kenya siku ya Jumanne ...
Japan inaipa Tanzania dola milioni 49 (shilingi bilioni 80.4) kama msaada na mkopo kwa ajili ya k...
Inspekta Jenerali wa Polisi David Kimaiyo yeye pekee yake amewateua na kuwapangia kazi maafisa wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne ilimkubalia Makamu wa Rais wa Kenya Willia...
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji