Ungependa kuifanya Kiswahili kuwa lugha ya chaguo lako, katika tovuti hii? |
Januari 20, 2012
Wapiganaji wa al-Shabaab wameripotiwa kutwaa redio inayoendeshwa binafsi ya Afgoye, wakimkamata na kumtorosha mtangazaji wa redio Ayub Yusuf Dalmar, mtandao wa habari wa IT News Africa iliripoti Alhamisi (tarehe 19 Januari).
Wakazi wa Afgoye wanaoishi karibu na kituo kinachomilikiwa binafsi walisema al-Shabaab wanaweza kuwa wamekilenga kituo kwa sababu ya mtazamo wake dhidi ya kikundi hicho, liliripoti gazeti.
Katika miezi ya hivi karibuni, al-Shabaab imeongeza kutoa amri za vikwazo kwa wakazi wa Afgoye, kilometa 30 kusini mwa Mogadishu. Mwezi uliopita, wapiganaji waliwaamuru walimu wa dini kusimamisha masomo shuleni ili kuhudhuria semina ya “maadili ya kiroho ya jihadi”, liliripoti gazeti.
Vilevile uongozi wa Redio Afgoye wala al-Shabaab hawakueleza kuhusu tukio hilo.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji