Januari 11, 2012
Ujumbe wa maandishi uliotahadharisha Wakenya kwa shambulio la ugaidi ambalo lingetokea karibuni limechukuliwa kuwa ni mzaha, polisi wa Kenya walisema Jumanne (tarehe 10 Januari).
Alisema ujumbe huo ulianza kutapakazwa kwa njia ya simu za mkononi jioni Jumatatu ukisema, “UN walitoa tahadhari muhimu ya tishio la bomu usiku jijini Nairobi. Tafadhali kuwa mwangalifu na wajulishe ndugu zako na marafiki zako.”
“Tahadhari hiyo yenye kujadiliwa haikutoka ofisi ya UN mjini Nairobi na kwa uelewa wetu hakuna upelelezi kama huo katoka katika vyanzo vya kuaminika,” alisema msemaji wa polisi Eric Kiraithe.
Kiraithe aliwasisitiza umma “kuendelea na shughuli zao na kuendelea kuchukua tahadhari za usalama wa kawaida kama walivyoshauriwa wakati wa maelekezo yetu ya kawaida au kama walivyoshauriwa na polisi wa maeneo ya wenyeji", kwa mujibu wa habari zilizotolewa na Redio Capital FM News ya Kenya.
Polisi walisema uchunguzi unaendelea wa kutafuta chanzo cha ujumbe huo wa maandishi.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji